GX100 crester for sale

GX100 crester for sale

hii mi gx100 mbona watu wanauza sana siku hizi juzi jamaa yangu kanunua kwa boss kwa bei ya 3.5mil
 
Kumbe majanga, nataka kujitosa humo, au si hatari kihivo?
 
Ila mwenye nayo aniuzie 3.8 m. Ila isiwe na majanga zaidi ya wese.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom