Gx 100

Kitimbwisi

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
155
Reaction score
72
NAUZA GARI, NI TOYOTA MARK 2, GX 100, BM 2000, YA MWAKA 2008,BEI MAELEWANO, IPO KATIKA HALI NZURI INATEMBEA! Ipo morogoro.
 
Mkuu unauza gari au magari? maana mada inasema GX 100 lakini ndani umeanza na toyota mark ii. Umenichanganya hebu iweke sawa. Picha za gari au hayo magari na details zote muhimu tuweke hapa jamvini ili tufanye maamuzi
 
NAUZA GARI, NI TOYOTA MARK 2, GX 100, BM 2000, YA MWAKA 2008,BEI MAELEWANO, IPO KATIKA HALI NZURI INATEMBEA! Ipo morogoro.0718445857
GX 100 ya 2008 au unamaanisha iliingizwa 2008 bongo? mbona hawatoi tena GX 100 zilishaachwaga kutengenieza tangu 2002 hzo, sasa hivi wanatoa Mark X...aisee
 
Iliingia mwaka 2008, then nauza gari lipo moja tu, ni mark two gx 100 @ Kig. Picha nitaweka wala hakuna shaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…