Dah...Baloteli a.k.a Kiwi dah ni mtamu jamani sura nzito hacheki kitu kiuno balaa huwez amini nilikua pekeangu naanagalia lakini nilikua nachaka balaa...hadi ile show niliirudia usiku kwani kulikua kuna marudio SAA 4 usiku ITV hadi nikaipotezea FNL ya CH 5....
KiWi ingekua zama za JK ungeula wallahi
Pia Kiongozi wenu yule biMdada dah kajaaliwa mpododo safi sana pale naonga nyumba