ruston8919
Member
- Mar 31, 2012
- 68
- 14
- Thread starter
-
- #21
na hautakuja kuelewa kamweSijaelewa uhusiano wa swali lako na hayo maeneo.
Angalia usifanye kama yule jamaa anayechukua sare na bendera za chama halafu anapeleka kwenye mikutano na kuvalisha wanyama. Nunua gwanda kwa lengo la kulivaa si vinginevya...
haujielewi weweKwenye mitumba, Manzese!
mkuu nimependa jibu lako, hahahahaha. ila bei ni tofauti kulingana na aina ya kitambaa, sio ulanguzi. vp umeshapata gwanda lako?
@Sweetlady...Ni lazima tuweze kujitofautisha na magamba popote pale tulipo tena tukitembea vifua mbele.
Mkuu siku mbili hizi umekua cool sana aisee.
Analivaa akitaka kuonuyesha ushujaa kwa mke wake! Hawezi kulivaa mbele ya Nape maana watoto hawatapishana njia ya msalani.
analo kalificha nyuma ya mlango anaogopa ccm wasimnaniliumkuu nimependa jibu lako, hahahahaha. ila bei ni tofauti kulingana na aina ya kitambaa, sio ulanguzi. vp umeshapata gwanda lako?
Siamini kama mkuu umeweza kuongea kwa upole namna hii, kweli ramadhani imekuacha vizuri!!!!