Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Baba askofu hakuna alipo kosea..Na asye kosea ni malaika peke yake fata neno sio matendo
Sawa, hakuna asiyekosea, basi akiri udhaifu, atuombe radhi waumini wake, tuanze upya, sio kuendelea kudanganya watu
 
Sasa hayo maneno yalio kuwa edited wewe umeyasikia wapi.. Looks like you have the original one.. Badala ya blah blah we Hiyo original..

Yule ni gwajima sio chidi wala baunsa
 
Kwa nini usijitolee kuwasaidia polisi katika hili suala?
 
Mwenzake yule wa afrika kusini alikiri kuwadanganya watu pale alipofanya ufufuo wa bandia nampaka leo anaendelea kusambaza neno la bwana.
Shida moja ya hawa maaskofu wa kisasa ni kujitangazia wenyewe usafi na utakatifu ambao kiukweli hawana,matokeo yake wakikutwa na kadhia kidogo wanachachatika na kuwatafuta watu wawalinde kwa hoja za kitoto.Sisi tunajua nyingi hamna utakatifu wowote ni binadamu kama sisi hivyo mnapojikwaa ni vema kujitakasa kwa kuomba radhi kwa wanaokuamini ndio ubinadamu sio kujifanya eti hamuwezi kukosea.
Sawa, hakuna asiyekosea, basi akiri udhaifu, atuombe radhi waumini wake, tuanze upya, sio kuendelea kudanganya watu
 
Kakboy kajafunika aibu ya Gwajiboy
 
Hii info ni taka taka kabisa kwa mtu ambae ni tech savvy.. Ungeniambia wametumia CGI ningesema atleast umejitahidi kwenye uandishi hata kama hiyo technology Bongo haipo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…