Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Ni wivu tu mzee kafanya tako za hatari

Kweli ni wivu mana kala kitu kizuri Mzee Wa Ufufuo...swali langu kwann ajirecord huyu mchunga kondoo Wa Mungu anataka kuweka ushandani Wa mwanamke huyu na nani?
 
huyo chid ni chid nani?,huyo cesil mbona hamna ubin na pia huyo alfonso,pengine ungetoa ubin watu wangeweza kuunganisha doti na kukubali maelezo yako@estone
 
Binafsi bado sijaona uhusiano wa moja kwa moja kuwa yule ni Gwajima. Nafsi inakataa kabisa kukubaliana na ile video, bado ile sura inagoma kushabihiana na mtumishi.. Anyway, huwa najitahidi kutunza akiba ya maneno, maana unaweza kumpaka mtu matope halafu isiwe kweli. Bora kuwa na kiasi.
 
Chai hii ..wapi sukari na maandazi
 
Mimi nimeikuta kwa kwinyara Facebook sijui kama ni kwel!
 
Karudie kuiangalia, acha porojo.

Clip ni 100% genuine
 
Reactions: R.K
Hahaa jamaa wana jaribu kuhamisha magoli lakini haya hamishiki ---- kama wana taka kweli kufanikiwa kuizima hii scandal basi " wavujishe sex tape ya mkolomije
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…