C ctc database JF-Expert Member Joined Jul 6, 2016 Posts 201 Reaction score 148 Mar 22, 2017 #21 sonaderm said: Tufanye na mengine jamani, hizi habari zimeshaanza kunikinai😀 Click to expand... Hunishindi mm ndugu yangu
sonaderm said: Tufanye na mengine jamani, hizi habari zimeshaanza kunikinai😀 Click to expand... Hunishindi mm ndugu yangu
E Ediwani JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 222 Reaction score 84 Mar 22, 2017 #22 malkiamrembo said: Asante kwa Taarifa kesho macho EFM Click to expand... Kweli huna kazi zaidi ya udaku
malkiamrembo said: Asante kwa Taarifa kesho macho EFM Click to expand... Kweli huna kazi zaidi ya udaku
rama bendu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 310 Reaction score 220 Mar 22, 2017 #23 Huyo askofu kibwetere mbona anazurura sana
A Atclkwanza JF-Expert Member Joined Dec 20, 2015 Posts 823 Reaction score 1,002 Mar 22, 2017 #24 Zanzibar Spices said: Anacheza na Akili za Wanaume wa DAR Wenye akili wanatafuta maisha,sio kukaa kusikiliza ujinga mtupu Click to expand... Sasa wewe mwanamume wa kolomije unaetafuta maisha unatafuta nini kwenye uzi huu.Wanaotafuta maisha hawajigambi outcomes hhujidhihirisha
Zanzibar Spices said: Anacheza na Akili za Wanaume wa DAR Wenye akili wanatafuta maisha,sio kukaa kusikiliza ujinga mtupu Click to expand... Sasa wewe mwanamume wa kolomije unaetafuta maisha unatafuta nini kwenye uzi huu.Wanaotafuta maisha hawajigambi outcomes hhujidhihirisha
K kokotani JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 211 Reaction score 152 Mar 22, 2017 #25 Saint Ivuga said: Radio UHURU lini? Click to expand... Hivi wapo?