Gwajima kesho EFM

Sasa pole wanapewaje efm wakati waliovamiwa ni cloud au inakuwaje api
 
Mkoromije apigweeee, apigweeeeee, aisee watamuua mkoromije, naona hata ofisi haikaliki kwa sasa
 
Efm? Kawaomba msamaha? Au kawpa noti?
 
Dah...akili za ngada hizi...huku wanasema hawata andika habari zake....kule wanaendelea na mapambio ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
akitoka aende Uhuru FM na TBC Gwajima anapenda kiki kama harmorapa
 
Tufanye na mengine jamani, hizi habari zimeshaanza kunikinai๐Ÿ˜€
 
Sasa hivi hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu Makonda kwa hiyo hata akiwanyoosha wataugulia maumivu kimya kimya.


Makonda wanyoooooshe vizuri sasa
 
Hana kazi ya kufanya huyo mwacheni anatafuta mistari ya kuhubiri kanisani. Maana naona ajenda yake muda c mrefu itakuwa expired
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ