MWANABUNDA
Member
- Feb 2, 2015
- 25
- 10
[h=2]Gwajima amgomea DC Makonda[/h] MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemwandikia barua Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akimtaka afike mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya kwa mahojiano. Inaelezwa kuwa Makonda alimtumia Askofu Gwajima barua hiyo Machi 30 mwaka huu, akiwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ. Hata hivyo, kiongozi huyo wa kiroho amegoma akisema hawezikwenda ofisini kwa mkuu huyo wa wilaya kwa mahojiano.
Je Hapa makona an uhalali wa kufanya hivi au anajichangoanya na kuingilia kazi za vyombo vya usalama?? Naomba wadau mnijuze.
Je Hapa makona an uhalali wa kufanya hivi au anajichangoanya na kuingilia kazi za vyombo vya usalama?? Naomba wadau mnijuze.