Gwajima alikuwa na ugomvi na Prof. Muhongo na Lissu siku zote, mbona hajawahi kuwaponda kama leo?

Huyu Crook mnampa kibri sana, sijui kwa kuchafua na kutukana watu kama ni sehemu ya leseni ya biashara yake ya injili, bado najiuliza anafanya nini uraiani....

Anatakiwa awe mahali panapostahili wahalifu wa aina yake
Unaweza kusimama mahakamani na kuthibitisha uhalifu wake hapo? Tuache unafiki, kila mtu anauhuru wa kusema kile anachokiamini, wewe unatumia mitandao ya kijamii, yeye anatumia jukwaa la kanisa lake
 
Gwajima anakamta fursa ya kuwa karibu na rais baada ya kumsumbua mwanae kipenzi
Unadhani hajaona Lusekelo kafanyiwa nini na Mukubwa
Hivi Gwajima ni nani ? Si yule mcheza shoo wa sikinde ! Mbona mnanichanganya
 
Unaweza kusimama mahakamani na kuthibitisha uhalifu wake hapo? Tuache unafiki, kila mtu anauhuru wa kusema kile anachokiamini, wewe unatumia mitandao ya kijamii, yeye anatumia jukwaa la kanisa lake
Niiteni mahakamani basi, huwezi kutoa maoni kwa kushambulia watu, huna haki hiyo , na kama wewe ni mfuasi wake natanguliza pole sana kwako , naomba huyu Yesu wa Israel afungue akili yako mtu wa Mungu
 
Leo tena Askofu mungu wenu kawa mtu wa hovyo kisa kamsifia raisi na kumsema Tundu bovu,watu wa Ufipa mumekuwa viburudisho kweli kweli

Usipende kuliona kila jambo kwa mtizamo wa CCM vs Chadema au Chama Tawala vs Upinzani.
 
Gwajima nenda pole poleeeee, kumbuka mtetezi wako ni Peter Kibatala au John Mallya, siku zote unapoitwa kisutu. Nenda taratibu hawa wanaoukutetea wanaamini lissu ndio idol au model wao katika sheria unapomsema unawaumiza mioyo yao. Unaweza ndio ukawa unawalipa malipo manono lakini unafahamu misimamo yao? Sina uhakika na Mallya ila huyu Kibatala ni MTU wa kusimamia vitu flani kwa hali na mali, namfananisha na marasta fali, habadiliki kirahisi. Mseme lissu kwa hoja usipayuke tutashi dwa kuja kuimba kwaya pale centro na IGP ashakuwa Cyro unategemea nani atakutoa?
Kwaheri
 
Bwege tuu huyoo muongo... Muoga mnoo double standards... Hayuko stables au hana msimamo kabisa.. Hafai
 
Gwajima nenda pole poleeeee, kumbuka mtetezi wako ni Peter Kibatala au John Mallya, siku zote unapoitwa kisutu. Nenda taratibu hawa wanaoukutetea wanaamini lissu ndio idol au model wao katika sheria unapomsema unawaumiza mioyo yao. Unaweza ndio ukawa unawalipa malipo manono lakini unafahamu misimamo yao? Sina uhakika na Mallya ila huyu Kibatala ni MTU wa kusimamia vitu flani kwa hali na mali, namfananisha na marasta fali, habadiliki kirahisi. Mseme lissu kwa hoja usipayuke tutashi dwa kuja kuimba kwaya pale centro na IGP ashakuwa Cyro unategemea nani atakutoa?
Kwaheri
hahahahaha mbona mna mtishia?
 
Lissu Kosa lake nini? Tatizo lilikopo ni kwamba Gwajima anajua Siri za Chadema na Chadema wanajua Siri za Gwajima. Gwajima hakuna Lolote atakalopata kutoka CCM wala kwa Magufuli especially Magufuli! They hate him with indignation! They will never trust him for 10 million years plus Wanasheria wa Gwajima Ni wanasheria wa Chadema! Gwajima is Undermining himself thinking he is pitching for Magufuli.

Time will tell. Labda awe kuna Analojua mimi silijui. Iwapo hakukutokea lolote baya walilomfanyia UKAWA 2015 Kujump ship na kuanza kuogelea bahari iliyojaa Papa na Nyangumi kuelekea Meli ya Magufuli bila hata kujua watampokea on board au watamtupia kwa Sharks amenishangaza! Mbona Mimi Chadema na Ukawa hawanijui na Bado kimsingi niko nawasaport hata baada ya kufanyiwa mizengwe 2015? Iweje mtu aliyekaa nao Meza Moja!

Sielewi Loyalty ni Muhimu sana kwenye siasa, Political patner au supporter asiye na Loyalty ni Hasara sana Kweke mwenyewe ni hasara na Kwenu anaowasaport ni hasara.

I Realy don't get it!
 
Back
Top Bottom