Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Leo akiwa kanisani kwake Mchungaji wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Dkt Gwajima awaamshia dude Muhongo na Tundu Lissu, anasema anashukuru Muhongo amekomeshwa, Muhongo aliwaita Watanzania madalali na pesa zao ni za mandazi tu.
Najiuliza hivi mbona hajawai kuwataja siku nyingine zote na leo tu ndo kawataja na kuwasema baada ya Hili sekeseke linaloendelea la mchanga wa madini hususani ktk wizara ya madini na Nishati ...!!
Najiuliza hivi mbona hajawai kuwataja siku nyingine zote na leo tu ndo kawataja na kuwasema baada ya Hili sekeseke linaloendelea la mchanga wa madini hususani ktk wizara ya madini na Nishati ...!!