Qualification ilikuwa ni kidato cha nne, baadae ikabadilika ikawa kidato cha sita na sasa baadhi ya bank inataka diploma na banks zingine zinataka graduates.
Yote hiyo ni kutokana na ugumu na ushindani katika ajira lakini kimsingi hata form four leaver anafanya.