Guys natafuta modem iliyokua flashed

Guys natafuta modem iliyokua flashed

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
689
guys natafuta jailbreaked modem au flasged modem ambayo inaweza kukubali line yoyote but isiwe universal modem iliyokua cracked especially ya voda na ningependa iwe ya huawei zte kwa yeyote mwenye nayo please anichek at 0689341445 na bei yangu ambayo naweza ku offer ni tsh.15,000
 
kwa bei hiyo,labda ningekushauri hv,katafute modem popote pale nitafute nikuflashie kwa 5000/=nipigie kwenye 0717567879
 
mdau mm ninayo ya kwangu ya voda nataka i flushhhh nipe maujuzi bhac@ perepeche
  • Je hiyo ya voda ni ipi? , Je ni HUAWEI au ZTE na ni model ipi? Je ni E303 au K772z
  • Angalia nyuma ya hiyo modem ili kujibu hayo maswali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom