Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Upuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!!
Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!!
Siku hizi imekua kama fashion ukimuapproach msichana anasema I kwn guyz are the same mm nilishatendwa so wote akili zenu zinafanana???
Je ni ukwel guys are the same???
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama kuna wanaume wanaachwa pia kuna haja gan ya kusema guyz are the same??? Ndo kusema wote huachwa???
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwa hiyo wewe unataka kupinga kuwa guys are not the same? toa sababu ambazo zitawafanya wanawake waanimi kuwa hamko sawa.
I' ve been looking everywhere for youUpuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!!
Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!!
Siku hizi imekua kama fashion ukimuapproach msichana anasema I kwn guyz are the same mm nilishatendwa so wote akili zenu zinafanana???
Je ni ukwel guys are the same???
Wanaume wote hatuwezi kuwa na mahusiano kimapenzi na mwanamke mmoja kwa muda mrefu, lazima awe na msaidizi. Hapo ndipo wanaposema wanaume wote ni sawa.

The common element in men inayofanyaga waambiwe they are the same ni CHEATING