Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,402
Katika kile kinachooneka kama mipango ya kuinusuru timu hiyo na janga la kushuka daraja msimu ujao , Hiddink amekubali kubaki kama mshauri wa ufundi.
Akiongea na Fox Sports amethibitisha hilo na ameahidi kuwarudisha Didier Drogba na Petr Cech kwa ajili ya majukumu ya ufundi mara watakapomaliza mikataba yao kwenye timu zingine.
" I want to involve former Chelsea players , and these guys are true chelsea legends "