Guta la toyo jipya linauzwa

Guta la toyo jipya linauzwa

frnk

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
160
Reaction score
12
Ni aina Ya Toyo 200cc
Halijatumika kwa biashara toka linunuliwe lina mwez mmoja tu..
Limeshasajilwa na lina namba mpya
Sababu ya kuuza ni mmliki kuhama kikazi.
Lipo yombo vituka..
Bei yake ni mil.3.2 maelewano yapo kidogo.
sijafanikiwa kuweka picha kwa sasa..lakin nitajitahid mapema wadau..
Kwa mawasiliano nami 0719 075175
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom