Gundua kosa..

hiyo bendera inaonekana kama ilikua kwenye motion? heheh vipi huko kuna upepo kweli???
 
1. Bendera inaashiria kama kuna upepo
2. Kuna zaidi ya chanzo kimoja cha mwanga, bendera inaeleza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…