Mafuriko mashambani.
Alafu ukiwa umewasha kiredio chako cha
mbao tena betri umekopa unasikia hakuna
chakula cha bure. Tumetoka kwenye kiangazi
kikali mala wadudu wanakula mazao sasaivi
mafuriko. Kwa kutafakari tu unapitiwa na
usingizi adi nzi wanaingia mdomoni.