Guide: Nitawezaje kuinstall Windows bila USB au DVD?

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,228
Reaction score
1,831
Ni kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu tumeweza kukutana hapa kama jumuiya moja.

Nimejaribu kufanya utafiti mtandaoni lakini Jibu ninalopata ni kuwa Windows installation bila DVD au USB inafanyika endapo utakuwa na partition moja. Kwa hiyo ndugu mimi Nina partition tatu ikiwemo na C: Drive an nina ISO file ya windows ambayo ningependa nifanye clean installation bila kutumia DVD am a USB flash disk. Mchango wa
kimawazo utasaidia zaidi. Natanguliza shukrani.
 
xxxxxtra impOcibO

INSTANTLY ANSWER impossible!


Unaweza Install windows bila flash wala cd
Mimi situmigi Flash wala CD na extract ISO file ya windows 7 au windows 8 ndani ya Disc partition yoyote afu una-run application ya windows itaanza ku-install...sasa wewe utachagua Local disc afu utachagua either option hizi tatu

1.Keep both files and applications
2.Keep Files only
3.Keep nothing

Hope hapo common sense inaweza tumika(hauwezi chagua keep nothing wakati una partition moja kwa maana inaweza futa hata hiyo installation file yako)

N:B Hii ni feature ya Windows OS zote version ya nane

Kwa windows 7 sio zote zinakubali(itaitaji .dll file fulani nimelisahau jina ila ukijaribu kwako hapo utaweza pata huo ujumbe) mimi niliitafuta torrent mpaka nikaipata ambayo imechezewa ni "windows 7 All editions Pre-Activated"

Hivo situmiagi Flash wala CD
 

Shukrani kaka kwa wazo lako... Mimi niliyotaka kuifanya ni ya keep nothing. Njia niliiyoiona walikuwa wanatumia command line kufanya extraction, kisha wanafanya reboot kama kawaida halafu installation inaanza. I NEEDED A CLEAN INSTALLATION GUIDE.
 
Windows 8 na matoleo mapya yana option ya kumount ISO hata ukiamua kuformat pc unaweza bila wasiwasi...

kama unatumia windows 8 na kuendelea, huitaji kuformat au kuinstall windows kila mara maana yenyewe ina option ya factory reset inarudi mpya, option kama zile alizozisema njunwa wamavoko hapo juu.
keep your files and settings
keep your settings only
keep nothing
 
Last edited by a moderator:

Ninashukuru ndugu C6.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…