yangu modem ni ya Airtel x230e na inaitisha nck code ili itumie laini ingine. naomba kusaidiwa na ndugu zangu nipate hiyo nck code. shukrani. imei ni 867612003925082
Je, unataka kufungua Samsung X230 kutoka lock carrier? Kama ni hivyo, kutumia code kufungua ili kuifungua. Unaweza kupata kutoka yoyote ya wachuuzi online kama Mobile-Unlocker.com ya kufungua yake.
na unlock moderm aina mbalimbali kama alcatel one touch x230e tuma ime number,inafungua mtandao gani na modeli ya hio moderm gharama ni buku 5 tuu unanitumia imformation za moderm nafanyia kazi alaf nakujulisha unatuma advance nakutumia code ikikubali unamalizia tuwasiliane kupitia crispeterworks@gmail.com