Guide book inasemaje kuhusu diploma holders!

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
773
Reaction score
1,087
Naomba kujua ni ufaulu gani wa diploma ya education utaniruhusu kusoma degree?
 
kama ulifanya vizuri katika ufaulu wako wa form four wanaweza kukuchukua lakini kama form four ulizingua tafuta kwengine
iv bro mtu akiahrisha kusoma akasema atasoma mwak mwingine af huo mwak vigezo vikawa vimebadilk, ina maan yey atakosa chuo au atadahliw kulingana na mwak wake ambapo alkuwa na vigezo mf GPA ikibadilka?
 
kama ulienda kufanya usajili alafu ukahairisha wew utakuwa moja kwa moja mwanafunzi wa chuo husika hautofanya tena udahili utapewa barua ya chuo ya kusimama masomo ukirudi unaenda ku report admission office taratibu nyingine zinaendelea , kama haukwenda ku report inabid kufanya usajili upya tena inabidi uende kuondoa jina lako TCU maana unaweza kupata tabu ya kuonekana unasoma wakati chuo haupo hivyo system za udahili zikakutema.
 
OK bro mf mm nmemalz mwaka huu ila cjaomba kabsa na vigezo vya GPA ninavyo hvo nisiombe kabisa nitaomba mwk kesho nikianz kusoma nianz kila kitu upya et, maana yake si watanidahl kw vigezo vya mwaka huu
 
kama haujaomba ndio uombe sasa watakudahili vip tena?
 
Kumbe n kweli kuwa na matokeo ya form four wanaconsider hata kama una GPA kubwa
nahisi wamebadilisha post haikuwa inasema hivyo nilimjibu mtu alikuwa anataka kwenda UDSM ndio nikamwambia kama matokeo yake yapo vizuri ndio achague
 
Back
Top Bottom