Guest ya sh 15000-20000

Guest ya sh 15000-20000

Kwanini uingie gharama? Hapo hapo ulipo great park Kuna uchochoro nyuma ya Hilo godown la tbl wenzio wanamalizia hapo.
 
Dadeki.....kwa comment za watu humu inaonekana hawachukui room chini ya dola 50, hapo ndo utaipendea JF kila mtu yuko njema.
 
Back
Top Bottom