Wadau kama heading hapo juu nataka kufanya ziara binafsi maeneo ya mafinga ni wapi sehemu murua ya kupata accomodation .na vipi bora bed and breakfast, full board au just bed ?then nikale mitaani ?nitakaa kwa siku kama nne hv
Asanteni

Siku zote ukitaka sehemu nzuri ya kulala, ondoa neno Guest house, ongea kwa lugha ya Lodge au Hotel. Merlin is a good place for both, rooms, drinks etc. Ni pesa yako tu mkuu. Labda kama pesa yako ni ya level ya guest houses.