Guest house gani morogoro nzuri?

Longido ni Hoteli nzuri sana. Wahudumu ni wacheshi, na ipo eneo changamfu, pale msamvu, jirani na stendi. Halafu kuna moja inaitwa Kombuna, chumba cha chini ni 14,000/=, kina sefu konteind, brekfast, kebo tivii, na kaa pakingi
 
nenda california hotel ipo maeneo ya masika,wanavyumba vizuri sana na huduma zao kwa ujumla ni nzuri
 
Sofia?? Lile bweni ama hotel, wala usiende. Anazo sofia hotel nyingi pale alizojenga toka WWII nenda ukashuhudie


WE UNASEMEA SOFIA GANI IMEJENGWA KA BWENI?? IPO HII PEMBENI YA ABOOD NI NZURI SANA VYUMBA KA RENOVATE ROOM 25thou,Bed&Breakfast.
 

Nenda B One, ipo round about ya masika nyuma ya bank ya crdb.

Wasifu: Pasafi, pana mgahawa standard, ipo mita 30 kutoka crdb bank, mbele kidogo kuna classic hotel (maarufu sana hapa town, wahudumu smart ambao ni watoto wa kimbulu) opposite kuna baa ya wastaarabu, supu ya kongoro ipo.

Then, stand ya zamani ipo jirani tu ambapo utaweza kuwa na access ya transport.
 
Nenda sofia pembeni ya abood pasafi sana na vyumba vizuri sana
 
B one is a nice place, nami huwa nafikia hapo kila wskati.
 
Kuwa makini manake mkisafirigi sijui mnapatagwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…