integral sign
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 160
- 13
shukran sana mkuu, nadhani itanifaa kwan ni jiran na stand.nenda pale round about ya msamvu kuna moja inaitwa Longido lodge, ni pazuri sana
Sophia hotel safi
Jamani msaada kwa wale wa morogoro town, nina safari ya kufika morogoro na nitakaa wiki 1, je ni mahali gani pazuri pa kulala.
Conditions; self contained room,bei iwe elfu 10 hadi 20. Nitashukuru kama replies zitakua za kunisaidia. Mahali popote ila iwe karibu na town au twn
Wenu,
Integral sign
Kwa bei ya buku teni to 20 Star lodge hapamuduNenda FAM INN au STAR lodge kihonda maghorofani
Kwa bei ya buku teni to 20 Star lodge hapamudu
Ukitaka na totoz za bei chee nenda moro night almaarufu kaumba
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ajiandae na yote maana hatatoka salama
Kwa nn hatatoka salama mkuu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Pale panahitaji wazoefu.Ajiandae na yote maana hatatoka salama