mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,083 Reaction score 4,250 Aug 11, 2024 #2 Nakubali sana michango yako Jane. Una nondo sana. Sana.
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,602 Reaction score 11,885 Aug 11, 2024 #3 Kweli Sijaelewa
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,083 Reaction score 4,250 Aug 11, 2024 #4 My Sons Legacy said: Kweli Sijaelewa Click to expand... Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022 Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi
My Sons Legacy said: Kweli Sijaelewa Click to expand... Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022 Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,602 Reaction score 11,885 Aug 11, 2024 #5 mshamba_mwingine said: Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022 Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi View attachment 3066475 View attachment 3066476 Click to expand... Ooohhh okay So ni Toa Nguo, hao madobi wakazifue. Okay okay
mshamba_mwingine said: Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022 Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi View attachment 3066475 View attachment 3066476 Click to expand... Ooohhh okay So ni Toa Nguo, hao madobi wakazifue. Okay okay
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,083 Reaction score 4,250 Aug 11, 2024 #6 My Sons Legacy said: Ooohhh okay So ni Toa Nguo, hao madobi wakazifue Click to expand... ndio
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,934 Reaction score 13,949 Aug 11, 2024 #7 ni ubunifu mzuri wa kutangaza biashara mshamba_mwingine said: Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022 Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi View attachment 3066475 View attachment 3066476 Click to expand...
ni ubunifu mzuri wa kutangaza biashara mshamba_mwingine said: Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022 Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi View attachment 3066475 View attachment 3066476 Click to expand...
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,042 Reaction score 9,652 Aug 11, 2024 Thread starter #8 Patra31 said: ni ubunifu mzuri wa kutangaza biashara Click to expand... Yes Ili u create buzz lazima ufanye watu wawe curious
Patra31 said: ni ubunifu mzuri wa kutangaza biashara Click to expand... Yes Ili u create buzz lazima ufanye watu wawe curious