Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,370 Reaction score 2,715 Dec 1, 2017 #1 Inakuwa kero na balaa ndani ya nyumba zetu, na amani inakuwa ndogo kati ya mume na mke, muda wowote mnakinukisha, na mashitaka yasioisha ndani ya familia na baraka ndani ya, nyumba hutoweka, na mikosi kukaribisha ndani ya nyumba.
Inakuwa kero na balaa ndani ya nyumba zetu, na amani inakuwa ndogo kati ya mume na mke, muda wowote mnakinukisha, na mashitaka yasioisha ndani ya familia na baraka ndani ya, nyumba hutoweka, na mikosi kukaribisha ndani ya nyumba.
dirtyboy JF-Expert Member Joined Sep 16, 2017 Posts 382 Reaction score 673 Dec 1, 2017 #2 Nyumba ya namna hii, ni nyumba ya wasiofanya ibada