oldbull JF-Expert Member Joined Jun 6, 2015 Posts 380 Reaction score 674 Jan 6, 2026 #21 Shida tangu watu waanze kuoa na kuolewa ilikua kwa sababu strategic, kulinda mali, amani kati ya pande mbili mahasimu nk..siku hz watu wanaoa hisia, na hisia kama upepo unakuja unakata...huwez fuata hisia tu ukaweza ndoa yoyote ile
Shida tangu watu waanze kuoa na kuolewa ilikua kwa sababu strategic, kulinda mali, amani kati ya pande mbili mahasimu nk..siku hz watu wanaoa hisia, na hisia kama upepo unakuja unakata...huwez fuata hisia tu ukaweza ndoa yoyote ile
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,499 Reaction score 139,724 Jan 6, 2026 #22 shibela said: Kama haujapiga bapa akili yako inakuwaga fresh Sana! Ndoa za mkataba ni muhimu Sana kwa ustawi Wa jamii na afya ya akili ya wanandoa! Click to expand... Umejaribu kufikiria baada ya mkataba kuisha umekuwa na 40 nani atakuchukua?
shibela said: Kama haujapiga bapa akili yako inakuwaga fresh Sana! Ndoa za mkataba ni muhimu Sana kwa ustawi Wa jamii na afya ya akili ya wanandoa! Click to expand... Umejaribu kufikiria baada ya mkataba kuisha umekuwa na 40 nani atakuchukua?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,209 Reaction score 185,071 Jan 6, 2026 #23 Smart911 said: Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Wee unasemaje kuhusu ndoa lo??
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 1,808 Reaction score 3,270 Jan 6, 2026 #24 mimi pia iliwahi kunikuta hiyo hali
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,814 Reaction score 13,567 Jan 6, 2026 #25 Kipenzi Changu said: Umejaribu kufikiria baada ya mkataba kuisha umekuwa na 40 nani atakuchukua? Click to expand... Anichukue anipeleke wapi? Maisha lazima yaendelee!!
Kipenzi Changu said: Umejaribu kufikiria baada ya mkataba kuisha umekuwa na 40 nani atakuchukua? Click to expand... Anichukue anipeleke wapi? Maisha lazima yaendelee!!