mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kwa gamers wa ukweli watakua wanaelewa hii.
Baada ya Michael kufake his death for 10years, Trevor agundua kua Michael yuko hai. Aamua kumfata nyumbani kwao ili kumuua lakini, Kutokuepo kwa Tracey (Binti wa Michael) kunachelewesha tukio hilo.
<font color = "red"> wale gamers wote especially wanaocheza GTA tukutane online tupull some heist pamoja </font>