Mi , sidhani km hawa Tecno wapo worldwide marketing zaidi ya kuuza hizi cmu zao east africa na baadhi ya maeneo ya west africa....ukiangalia hawa ni moja ya makampuni yanayochipukia katika tecnology ya cmu , sidhani kama wanaweza kuingia kwenye record za GSM Arena....ni mawazo yangu tu..