Hatupo serious. Ujinga tu! How Uto akufunge mfululizo alafu bado unasajili kwa mazoea? Tutadanganywa na Faisal then wataokotwa madogo wengine west Africa tupigwe tena. Tuache ujinga viongozi wawajibike wasituletee siasaHamna wachezaji full stop
Exactly
Simba kuna tatizo kubwa nitarud simba akiondoka msemaji huyuWanasimbaaa,
Kwa ufupi Yanga tumewashindwa! Hata hizi danki danki za majuzi ni uoga wetu tu.
Fact ni tuache janja janja GSM atatufanya anachotaka hadi tupate uwekezaji serious ili tujenge timu ya maana.
Tuache maneno mengi, Yanga hawakujenga timu kwa kuleta watoto, walileta watu wa kuwapa matokeo.
Msimu mwingine wa kinyonge, msimu mwingine wa kuongeza idadi ya mechi mtani katufanya alichotaka.
Msimu huu mpya tutafanya makosa Yale Yale! Usajili mbovu na janja janja.
Haya subirini faraja ila facts ni facts! Tumewashindwa mfululizo hadi aibu! F**
Husijiumize sana kushabikia timu kama hiyo. Fikiria mwenyekiti wa hiyo timu analeta mchezaji wa timu nyingine kwenye uchaguzi kama kampeni ili achaguliwe na bado yuko madarakani, yaani anawaona mashabiki ni mabumunda.Hatupo serious. Ujinga tu! How Uto akufunge mfululizo alafu bado unasajili kwa mazoea? Tutadanganywa na Faisal then wataokotwa madogo wengine west Africa tupigwe tena. Tuache ujinga viongozi wawajibike wasituletee siasa
Hizo pesa za kununua hao wachezaji wa viwango vya Yanga tunazo Simba? Tusikimbilie kulaumu. Labda pesa hazitoshi kununua wachezaji wa viwango vikubwa zaidi.Hatupo serious. Ujinga tu! How Uto akufunge mfululizo alafu bado unasajili kwa mazoea? Tutadanganywa na Faisal then wataokotwa madogo wengine west Africa tupigwe tena. Tuache ujinga viongozi wawajibike wasituletee siasa