K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 Oct 29, 2013 #1 mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 29,july, 2015. Bei ni 500,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni
mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 29,july, 2015. Bei ni 500,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Oct 29, 2013 #2 duuuuh
N namajikuta New Member Joined Aug 17, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Oct 29, 2013 #3 weka picha mkuu!
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,083 Oct 29, 2013 #4 Kabachubya said: mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 12,sept, 2013. Bei ni 400,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni Click to expand... Wanaouzaga GS pure breed huwa wako proud sana na mbwa wao..hasingesita kuweka picha ya hao puppies na mama and/or baba yao! We kwa nini unafcha kama ni pure breed? Unaogopa wataalamu humu watakushtukia..
Kabachubya said: mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 12,sept, 2013. Bei ni 400,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni Click to expand... Wanaouzaga GS pure breed huwa wako proud sana na mbwa wao..hasingesita kuweka picha ya hao puppies na mama and/or baba yao! We kwa nini unafcha kama ni pure breed? Unaogopa wataalamu humu watakushtukia..
K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 Oct 30, 2013 Thread starter #5 Habari za jioni wana JF? Hizo ni picha mnaweza kuziangalia mkafanya maamuzi. Attachments DSC06242.jpg 10.8 KB · Views: 50 DSC06244.jpg 10.9 KB · Views: 49 DSC06254.jpg 4.6 KB · Views: 70 DSC06256.jpg 8 KB · Views: 52 DSC06259.jpg 12.3 KB · Views: 53