kuna 0+ve na 0-ve mkuu.
0+ve ni zaidi ya 60% ya watu duniani wana group hili,sifa ya hawa watu ni wengi sana group lao.
0-ve ni kama 5% ya watu duniani,upekee wa group hili linatoa damu kwa magroup yote,ila linapokea kwa 0-ve mwenzie tu,ndio sababu ya upekee wake,ni kama almasi kwamba ina kazi na thamani kubwa ila upatikanaji wake ni kisanga.
sifa nyingine ni gumu sana kushambuliwa na magonjwa.