kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,261
- 1,785
Hizi sehemu hata kama ulizaliwa na kukulia katika miji mitakafu harafu ukatembelea kupata vinywaji, kwa watoto wa kike (wahudumu) walioko hapa lazima ndoa iyumbe tu ama kuvunjika.
Ilibidi nisingizie nimekamatwa na traffic police ili tu wife anirushie pesa kwa Mpesa kwa namna walivyonikamata na kunikongoloa pesa zote. Kwa wale ambao hamjafika ziko Stand ya mabasi na hiece Kakola (Bulyanhulu).
Usiku mwema na Wana Yanga tushikamane kumuombea Manji aachiwe huru kwa sala, nina wasiwasi kama sio hujuma za Simba.