Picha nimewekaWeka picha ili tuseme ni kampuni nzuri au mbaya alafu tupite hivi
500000 nayo ni pesa mkuu lakini kwa hali ya mashine hizi ni kama mpya kabisa, nimezitumia kwenye mradi mara moja na kuzifungia ndani. Hazijafikisha hata mwezi mmoja wa matumizi. Hebu ongeza ongeza kidogo nikuachie mali ukapige kazi kaka500k inakulipa mkuu..!?
Kwa mtu muelewa kama wewe hii ni ofisi iliyokamilika kabisa mkuu.Hii si ofisi kamili kabisa?
Sasa mtaalam, wewe umeshindwa kupata vijana uwakadhi mouge pesa au kuwa unazikodisha?
Jibu litasaidia kupata uelewa mpana wa fursa zinazoambatana na hivi vitendea kazi.
Sio kwa ubaya mkuu ila hyo welding machine SI Bora sana ndo maana nkaomba kwa Bei hyo stability yake sio kubwa ki hivyo500000 nayo ni pesa mkuu lakini kwa hali ya mashine hizi ni kama mpya kabisa, nimezitumia kwenye mradi mara moja na kuzifungia ndani. Hazijafikisha hata mwezi mmoja wa matumizi. Hebu ongeza ongeza kidogo nikuachie mali ukapige kazi kaka
Mkuu hizi ndiyo mashine za kisasa zinazotumika sana wakati huu, kuanzia unafuu wake kwenye matumizi ya umeme alafu hii upo huru kufanya nayo kazi mazingira yoyote.Sio kwa ubaya mkuu ila hyo welding machine SI Bora sana ndo maana nkaomba kwa Bei hyo stability yake sio kubwa ki hivyo
Ntumie namba tuwasiliane kama huyo jali
ipo kama hio nakuachia kwa 500k japo bei yake ni 1.5mil500k inakulipa mkuu..!?
Ngoja nikae vizuri nikucheki hapoipo kama hio nakuachia kwa 500k japo bei yake ni 1.5mil
0683011003
napatikana hapahapa Mwanza
View attachment 3094710View attachment 3094711View attachment 3094712View attachment 3094713View attachment 3094714View attachment 3094715View attachment 3094716View attachment 3094717View attachment 3094718View attachment 3094719
πππNgoja nikae vizuri nikucheki hapo
Ushauri wangu;Habari wadau.
Mali tajwa hapo juu zinauzwa. Bado zipo katika hali ya upya maana zimetumika mara moja tu na baada ya mradi kukamilika hazihitajiki tena hivyo nataka kubadilisha walau nirudishe pesa kidogo zinisaidie kwenye mambo mengine.
Kwa mwenye uhitaji namkaribisha sana.
Grinder
Angle grinder aina ya MAKITA
Inchi 9
Watts 2200
GA9020
Mashine ya kuchomea
Aina ya Edon
ARC 630s
Vyote hapo juu vimekamilika ni viambata vyake vyote (accessories) .
Nauza vyote kwa pamoja kwa bei ya 750000/= Tu.
Hata kama wewe siyo fundi ushauri wangu unaweza kununua hizi mashine na kufungua ofisi yako kisha ukamkabidhi fundi akawa anakulipa, au kama una fundi muaminifu unaweza kumkodishia akawa anakulipa, kwa mfano siku moja kukodisha mashine zote hizi mbili kwa pamoja haiwezi kuwa chini ya shilingi 15000.
Karibuni.
Muhitaji naomba tuwasiliane
View attachment 3094645
View attachment 3094646
View attachment 3094648
View attachment 3094650
View attachment 3094653
View attachment 3094655
View attachment 3094657
View attachment 3094658View attachment 3094657
Mkuu bei niliyonunulia naijua na ninafahamu kwanini nikauziwa kwa bei husika.Ushauri wangu;
Ukiuza bei poa utauza:
Makita dukani, mpya na org ni 350k
Edon mpya dukani ni 350k
Jumla 700k.
Kiongozi@ Glenn; vitu vya umeme (Electronics)vinahitaji utaalam kidogo kabla ya kuchangiaUshauri wangu;
Ukiuza bei poa utauza:
Makita dukani, mpya na org ni 350k
Edon mpya dukani ni 350k
Jumla 700k.
Mkuu bei niliyonunulia naijua na ninafahamu kwanini nikauziwa kwa bei husika.
nimepokea ushauri wako , lakini naomba nielekeze duka ambalo nitauziwa hizo mashine kwa bei hiyo uliyoisema
Yeye ametoa hizo speci...?Kiongozi vitu vya umeme (Electronics)vinahitaji utaalam kidogo kabla ya kuchangia
Ukisema Makita ni 350k; unatakiwa uweke na specification za hiyo Makita kwani makita ni jina tu kama mfano useme Simu ya Samsung (ujue kuna simu ya samsung ya shs 320,000 lakini pia zipo Simu za Samsung za hadi shs million 3; hivyo hivyo kwa kwa Edon...bila specification watu wanaojua umeme wataona huna jipya
Jaribu kusoma vizuri nimeelezea specification zake mkuuKiongozi vitu vya umeme (Electronics)vinahitaji utaalam kidogo kabla ya kuchangia
Ukisema Makita ni 350k; unatakiwa uweke na specification za hiyo Makita kwani makita ni jina tu kama mfano useme Simu ya Samsung (ujue kuna simu ya samsung ya shs 320,000 lakini pia zipo Simu za Samsung za hadi shs million 3; hivyo hivyo kwa kwa Edon...bila specification watu wanaojua umeme wataona huna jipya