Yani kuna wakati najisahau napitiwa ndugu yanguSijakuelewa hata kidogo kaka. Si tulikubaliana hatuendi kilingeni tena?
Havitofautiani sana ni sigilHivi na ritual magick ni hatari kama grimoire?
Hii inatumwa kwa mtu hii gizani limerushwa jiwe hili limfikie muhusika... Ukweli ni kwamba hakukuwa "grimoires kwenye Kompyuta." Simulizi zote zilisimuliwa live tena kwa mifano halisi
Hapo zamani za kale mtu anaweza kufungwa au kuuawa kwa kumiliki kitabu kama vile grimoire. Kwa hivyo mtu yeyote ambaye alikuwa na ujasiri wa kujaribu moja ya grimoires ya zamani alijua fika kwamba alikuwa akiyabeba maisha yake mikononi mwake na kuanza kazi.
Grimoires hutoa maagizo ya kuunda aina nne za roho. Hawa ni, malaika, mapepo, majini, na wafu. Aina zote nne za aina hizi za roho zinajulikana kuwa hatari.
Ikiwa Biblia ina ukweli wowote ndani yake, kama malaika waliharibu miji na kuua watu. Wao sio wanyama wa kufugwa, ni hayawani wasiotabirika. Kuna simulizi nzuri na mbaya. Mapepo yanaweza kuwa mazuri na mabaya ya kutisha.
Sawa tu na wafu, kama mtu yeyote ambaye ametumia muda wa kutosha kwenye makaburi usiku anajua. Kuna mambo ya ajabu kule kwenye ule utulivu wa giza la usiku makuburini
Kwa hivyo ikiwa unafikiria kuwa mchawi na ufanye ushirikina tena kwa kutumia grimoire, karibu kilingeni na uwe tayari kukabiliana na chochote. Au kaa mbali nayo na labda ufanye shughuli salama zaidi kama vile kusuka, kuwa mwalimu, mfanyabiashara nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vitatu vinaUnamaanisha ritual magick havitofautiani na sigil?
Sigil huwa Naona ni complex sana kuandaa May be na ku charge.
Nilitaka kujua kama ritual magick ni risk kama griomoire? Maana hata kabla sija practice grimoire Naona ni risk pia complexity ya maandalizi……..
Ha ha ha ha!
Hapa nimetoka kapa.
Nirogee mtesi wa taifa hili... Ukweli ni kwamba hakukuwa "grimoires kwenye Kompyuta." Simulizi zote zilisimuliwa live tena kwa mifano halisi
Hapo zamani za kale mtu anaweza kufungwa au kuuawa kwa kumiliki kitabu kama vile grimoire. Kwa hivyo mtu yeyote ambaye alikuwa na ujasiri wa kujaribu moja ya grimoires ya zamani alijua fika kwamba alikuwa akiyabeba maisha yake mikononi mwake na kuanza kazi.
Grimoires hutoa maagizo ya kuunda aina nne za roho. Hawa ni, malaika, mapepo, majini, na wafu. Aina zote nne za aina hizi za roho zinajulikana kuwa hatari.
Ikiwa Biblia ina ukweli wowote ndani yake, kama malaika waliharibu miji na kuua watu. Wao sio wanyama wa kufugwa, ni hayawani wasiotabirika. Kuna simulizi nzuri na mbaya. Mapepo yanaweza kuwa mazuri na mabaya ya kutisha.
Sawa tu na wafu, kama mtu yeyote ambaye ametumia muda wa kutosha kwenye makaburi usiku anajua. Kuna mambo ya ajabu kule kwenye ule utulivu wa giza la usiku makuburini
Kwa hivyo ikiwa unafikiria kuwa mchawi na ufanye ushirikina tena kwa kutumia grimoire, karibu kilingeni na uwe tayari kukabiliana na chochote. Au kaa mbali nayo na labda ufanye shughuli salama zaidi kama vile kusuka, kuwa mwalimu, mfanyabiashara nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sigil kuiandaa kwakumaanisha ku create yakwako au kutumia ya spirit unayetaka kuwasiliana nae, kui charge unaweza kupitia meditationUnamaanisha ritual magick havitofautiani na sigil?
Sigil huwa Naona ni complex sana kuandaa May be na ku charge.
Nilitaka kujua kama ritual magick ni risk kama griomoire? Maana hata kabla sija practice grimoire Naona ni risk pia complexity ya maandalizi……..
Kumroga mtesi wa taifa hili utahitaji mishumaa ambayo imetengenezwa kwa mafuta ya binadamu.(He he he)Nirogee mtesi wa taifa hili
Nimevipitia sana japo sijapraktizi kivileZipo grimoire nne maarufu sana. Zinatokea Kanisani.
Naikimbuka moja Grand Grimoire.
Au Grimoire of Pope Honorius.
🤣🤣Kumroga mtesi wa taifa hili utahitaji mishumaa ambayo imetengenezwa kwa mafuta ya binadamu.(He he he)
Halafu Ulaya katika Occult Shops utaona matangazo ya kuuza mishumaa ya aina hiyo.