Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 624
- 548
- Thread starter
-
- #61
Mkuu nimekuwa nikiifuatilia hiyo technology ya greenhouse kwa umakini mkubwa na leo ndo nimebahatika kuiona hii post na nina maswali machache kama ifuatavyo:
!. Je hizo DVD unazotoa zinaelekeza jinsi ya kuaandaa udongo katika greenhouse
2. Nilikua nikihitaji greenhouse kwa kilimo cha nyanya, Je hiyo DVD yako ina maelekezo hayo?
3. Je gharama za soil test na water test zipo inclusive kwenye hiyo 600,000/= ?
4. Je gharama za tank la maji + fertilizers zipo ndani ya hiyo bei (maana umesema inaexclude poles pekee)
5. Je una miaka mingapi katika hiki kilimo cha greenhouse na je unawezanisaidia moja kwa moja kwa makubaliano maalum kama nikipata matatizo kwenye greenhouse yangu?
Suggestions:
1. Ungepost atleast picha kadhaa za greenhouse yako ili utuongezee imani kuwa jambo hili linawezekana
2. Ungewapa wanaJF japo list ya masupplier ambayo wewe au mtu yeyote alitumia ili tusihangaike mno maana huwezi enda hardware store yeyote ukavikuta.
Vinginevyo BIG UP sana kama hii kitu inawezekana maana utakuwa umekomboa wengi maana m5 ni pesa kubwa kwa wengi wetu.

don't waste your time if you can not see a demonstration green house farm .... nevertheless there aren't any cost over benefit analysis which will bring us to conclusion on profitability ..... this thread topic poster about green house is a best selling author ..... rather i call him a CD and DVD vendor
be ware of ants and round worms

Mbona wakenya wameweka hizo video na dicumentary bure kabisa?
Acha kudanganya ..... haakuna technology isiyokuwa na gharama ..... technology yeyote ile huendana na research and development (R&D)
Narudia tena tunahitaji uhalisia .... Ipo Wapi greenhouse yako na utoe ushuhuda wa mazao uliyopata against costs encored .... then we can realize cost over benefit
Sometimes many projects here in JF are white elephants
ninawezaje kumpata fundi wa kunitengenezea grean hause kwa mtu alieko kanda ya kaskazini
ninawezaje kumpata fundi wa kunitengenezea grean hause kwa mtu alieko kanda ya kaskazini
OFA: Kawnza nashukuru kwa wale wote waliojifunza haya mafunzo ya greenhouse kutoka katika DVD nilizowatumia. Kutokana na umuhimu huu nimeamua kutoa ofa ya DVD ya ziada kama ofa bure utakapo nunua DVD ya greenhouse. Dvd hii ya ofa inafundisha hatua kwa hatua jinsi ya kulima kilimo cha kisasa cha maua. Na hii huhitaji hata kuwa na greenhouse. Na unaweza anza na kwa mtaji usiozidi laki moja na unapata faida kubwa baada ya miezi 3 tu.
Katika kilimo chako utapanda miche 150 kwa square metre sasa itategemea eneo lako lina ukubwa gani. Mche mmoja utauuza kwa sh. 6 hivyo kwa sq metre unatengeneza sh. 900. Mfano kama una shamba la ekari 1 utapata miche 735000 ambapo ukiiuza utapata sh. 4,410,000. Na hii ni baada ya siku 75 - 90 tokea umeipanda. Pia utajifunza technique ya upandaji itakayokuwezesha kuweza kuvuna mara 2 kwa wiki kwa mwaka mzima. Hivyo piga hesabu utapata sh. ngapi kwa mwaka. Soko la maua lipo sana.
1. Ndio inaonyesha jinsi ya kuandaa udongo
2. Inafundisha hatua kwa hatua kujenga greenhouse na pia hatua kwa hatua junsi ya kulima nyanya
3. Ndio
4. Katika technology yetu huhitaji kuwa na tank, unatumia technology ya kisasa ya mwagiliaji
5. Ndio inawezekana.
6. Unaponunua hii dvd unapata pia mawasiliano ya ma supplier wa vifaa
Hii imekaa poa sana, once I will have stablized nitaipeleka home ili iwakeep busy watu wangu wa home. Muda mwingi huwa hawana kazi za kufanya baada ya msimu kuisha hata kazi zao za msimu ni very unproductive. Au hii tekinolojia inahitaji nishati ya umeme?
Yaani wewe jamaa ni kifaa sana maana material zako unazouza zinajieleza kupita maelezo kupita hata mtu alienda Srilanka kusomea kilimo.
Naongea kwa ushahidi maana nilinunua kitabu chako cha mkaa kimejieleza mno japo sijaanza hadi sasa kutokana na changamoto sababu binafsi
Omba Mungu akusaidie hizo sababu binafsi zisikuzuie tena ili nawe uanze mradi na ujipatie kipato maana maisha ya siku hizi yamekuwa magumu, vitu vimepanda bei hivyo kama hauna mradi wa kukuingizia kipato cha ziada maisha yanakuwa sio matamu
nitapataje contact zako