always,natumia Princes Muro,dar>mwanza,fasta tu,by the way,hiyo green star ni yutong kama zlivyo muro,al saedy nk,zkianza kuchoka bora usafiri na pkpk yako.
mkuu next time panda Zuberi 38,000 tsh Mwanza-dar Hiyo ni 2 by 2, na 35,000 tsh 3 by 2,..dar unaingia saa tatu na nusu usiku..poa kabisa..sasa unato elfu sitini unapanda huo utumbo au bodi limekuvutia,?