Green Guide vs CHADEMA

Lakuchumpa

Member
Mar 28, 2012
73
13
Iposiku Tanzania tutasikia Kuna makundi ya kutekeleza mashambulizi na kujitoa muhanga kama Yale ya Alshababu na boko aram/nigeria. Hii Itkua matunda ya vikundi vinavyopewa mafunzo na vyama vya siasa mfano green guide wa sisim. Nilimsikia kiongozi mmoja wa ccm akidai ni kikundi cha kusak ushind wakati wa uchaguzi. Sasa jiulize huo ushindi wanausaka je na ngali kinachoamua ushindi ni Kura kutoka kwa wana nchi?
 
Green Guide Kundi jipya au....
mbio za nini, macho na masiko arusha

@ green guard
 
arusha kishaeleweka sana tuu mbona. bado tu kufunga kabisa ofisi zao mkoani hapo. Watanzania wote wangekua na fikra chanya na uzalendo wa kweli kama wakazi wa Arusha, hakika tungekua mbali sana tuu. mfano mzuri ni wakazi wa Arusha wanavyoutangaza na kuupenda mkoa wao, sijawahi kuona kijana au hata mzee amevaa T shirt imeandikwa jina la kuusifia mkoa wake zaidi ya Arusha. Big up Arusha mabadiliko yanaanzaga taratibu halafu yanasambaa. pipoooooooooooooooooooooooooos.
 
Back
Top Bottom