Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Mimi au ccm?to hell..
Enzi zilee ukipingana na ccm ujue unamkaribisha israel mtoa roho!
Tangu nguvu ya upinzani iwe chini ya werevu vifo tata vya viongozi makini vimepungua huku ccm wakipingana hadharani!
Hii inanifanya nijiulize wapi green guards, mungiki na al shababi makundi rafiki muhimu wa ccm?
Mkuu, mapenzi yako kwa CDM yasikufanye kila pumba ubandike humu jamvini, ebu lete ushahidi wa maneno yako ubandike humu tupate kujadili, JF, sio sehemu ya porojoEnzi zilee ukipingana na ccm ujue unamkaribisha israel mtoa roho!Tangu nguvu ya upinzani iwe chini ya werevu vifo tata vya viongozi makini vimepungua huku ccm wakipingana hadharani!Hii inanifanya nijiulize wapi green guards, mungiki na al shababi makundi rafiki muhimu wa ccm?
Sokoine, Kolimba,Chifupa,Dr ali juma,Chacha wangwe,Ditopile,Sheikh Abeid karume, Ukitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!Mkuu, hii ni kweli? Ebu tupe data kidogo kwa hili. Enzi zipi (hawamu) na angalau wale wote ambao waliuliwa na hawa jamaa maana hawa ni watu hatari.
Hahahaha unaweza ongeza hata la ndgu yako hapo,hao tunajua wamekufa lkn ushahid tunaotaka ni kytuthibitishia kuwa waliuliwa na ccm km ulivyodai,thibitusha tafadhalSokoineKolimbaChifupaDr ali jumaChacha wangweDitopileSheikh Abeid karumeUkitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
kwa huo mtizamo wake hapo juu inawezekana ikawa hivyohata vatican nasikia imeacha baada ya Jk muislam. na sasa wameikumbatia chadema kwani ni ya wakatoliiki. lkn akija Membe vatican itarudi tena cccm
Mbowe,Slaa,Zitto,Lema...........Sokoine, Kolimba,Chifupa,Dr ali juma,Chacha wangwe,Ditopile,Sheikh Abeid karume, Ukitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
leo ndio umezijua porojo? Ni kwel jamaa kaleta porojo lakn na wewe una porojo zaidi yake. Mkuki kwa nguruwe.Mkuu, mapenzi yako kwa CDM yasikufanye kila pumba ubandike humu jamvini, ebu lete ushahidi wa maneno yako ubandike humu tupate kujadili, JF, sio sehemu ya porojo
nyerere na shelembi wa shySokoine, Kolimba,Chifupa,Dr ali juma,Chacha wangwe,Ditopile,Sheikh Abeid karume, Ukitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
leo ndio umezijua porojo? Ni kwel jamaa kaleta porojo lakn na wewe una porojo zaidi yake. Mkuki kwa nguruwe.Mkuu, mapenzi yako kwa CDM yasikufanye kila pumba ubandike humu jamvini, ebu lete ushahidi wa maneno yako ubandike humu tupate kujadili, JF, sio sehemu ya porojo
hata vatican nasikia imeacha baada ya Jk muislam. na sasa wameikumbatia chadema kwani ni ya wakatoliiki. lkn akija Membe vatican itarudi tena cccm