Ni fursa kama fursa nyingine. Anayehitaji asivunjwe moyo na asiyehitaji.
Tuliolidhika na Life la Tz tuwaache wanaotaka kujaribu life ughaibuni...
Elimu ni gharama, kuliko kuwa blind, bora kumckliza mwamba akutoe tongo tongo. Katoa elimu hii tng zamani sana. Sioni ka hiyo 20 inalingana na anachofundisha.
Kila la kheri
Hakuna anayempinga mwamba, na anafanya vizuri Ila afafanue zaidi kushinda lottery sio final. Kwa wastani ujiandae eg. Documentations (kupima Afya), Nauli, viza na pesa ya kujikimu ukifika US.Ni fursa kama fursa nyingine. Anayehitaji asivunjwe moyo na asiyehitaji.
Tuliolidhika na Life la Tz tuwaache wanaotaka kujaribu life ughaibuni...
Elimu ni gharama, kuliko kuwa blind, bora kumckliza mwamba akutoe tongo tongo. Katoa elimu hii tng zamani sana. Sioni ka hiyo 20 inalingana na anachofundisha.
Kila la kheri
Duuh wallahi wabongo hambebeki haki ya nani kwahiyo mkuu ulitaka atoe muda wake na pesa zake kuapplyia lottery watu zaidi ya 2000 bure tuJamaa anatambaa na fursa hii ya kuchanja 20,000/= kumsaidia ku-apply imemshushia thamani zaidi. Kama angekua kweli ana Nia ya nn kuokota senti za vijana?
Nimegundua huyu jamaa wengi mnaomponda hamumfuatilii sababu hayo yote ameshaeleza sana tena huwa anarudiarudia kila mwakaHakuna anayempinga mwamba, na anafanya vizuri Ila afafanue zaidi kushinda lottery sio final. Kwa wastani ujiandae eg. Documentations (kupima Afya), Nauli, viza na pesa ya kujikimu ukifika US.
Pia Apunguze jazba akiulizwa kitu
Umeshawahi ingia You tube kucheki videos zake huyu EBM Makulilo? Au unaleta chuki zako hapa?? Tatizo unaongea Vitu bila kuwa na uhakika navyo![emoji35][emoji35] , AFRIKA ina watu walio laaniwa kwa chuki na wewe ni mmoja wao ..kuliko kumpa msaada Mwafrika bora umpe mbwa atakushukuru.jamaa kaeleza kila kitu kuhusu mazuri na mabaya ya Amerika lakini kutokana na wabongo ni wanafiki hawafuatilii vitu wana kurupuka na chuki zao kuponda watu..huona kila mtu ni mbaya...Hizi ndo information huyo jamaa hasemi.Yeye anasifia Mwanzo-mwisho as if ukishashinda bhaasi wewe utabebwa Kama gunia direct to US.
Kuna ubaya akirudia kufafanua?Nimegundua huyu jamaa wengi mnaomponda hamumfuatilii sababu hayo yote ameshaeleza sana tena huwa anarudiarudia kila mwaka
Yaani mtu kama wewe kuliko nikupe Msaada bora nimpe Mbwa... wabongo mna chuki na hambebeki hata kwa wema gani...!!!! Huna experience ya America zaidi ya Majungu yaliyo kujaa kichwani kwako.Vijana stukeni. Kama huna pesa US utapasikia tu. Green Card sio msaada
Me nadhani hujaelewa point yangu. Kama alishasema au hajasema mimi sijui lakini wengi wetu wanadhani ukishashida bahatinasibu ni moja kwa moja kitu ambacho sio kweli.Hayo yote alishaelezea tafuteni videos zake aloo
If you hate someone hate them alone don't go around recruiting people to hate that person with you that's witchcraft...Huo ni uchawi na uzandiki unafanya hapa!!!Kuna ubaya akirudia kufafanua?
US beibiIf you hate someone hate them alone don't go around recruiting people to hate that person with you that's witchcraft...Huo ni uchawi na uzandiki unafanya hapa!!!
Huna hoja wewe!! Elimu yako ni ujinga na Majungu kwendaa... unajaribu matusi kwa vile huna Hoja...US beibi
Acha roho mbaya mkuu watu waende kwa Biden!US beibi
Achana na huyu jamaa Andrew 123 Ana jaribu kusambaza chuki zake na Majungu hana chochote zaidi ya Majungu.Acha roho mbaya mkuu watu waende kwa Biden!
Mateso yapo kila mahali mkuu,sema yana tofautiana. Hata USA kuna Hustle na mateso vile vile ila bongo yamezidi.Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Hakuna ambae hataki waende Ila waende wakiwa well informed! Wakenya, Wahindi, Wacongo ndugu wanawachangia ndugu zao wanaopata Green card na matokeo yanaonekana.Acha roho mbaya mkuu watu waende kwa Biden!
Information zote zipo You tube una uhakika gani watu hawapo well informed? Au wewe tu ndio uko informed???Hakuna ambae hataki waende Ila waende wakiwa well informed! Wakenya, Wahindi, Wacongo ndugu wanawachangia ndugu zao wanapata Green card na matokeo yanaonekana.
Mkuu sijui Kwa nn unapanik hv. Relax. Lengo letu Ni moja, nafurahi kuona vijana wanakamata fursa nje ya nchi Ila sio wakaaibike kwa kukosa taarifa sahihiInformation zote zipo You tube una uhakika gani watu hawapo well informed? Au wewe tu ndio uko informed???
Makulilo anataka mwende jamani...
Kam huna Carrier jiandae kufanya kazi kwenye nyumba ya kutunzia wazee ni mwendo wa kutawaza Tu. Bon voyage
Uchakavu 20,000/=
Living cost ya US inafanana na Uyui?Ni hatua tu ya maisha kama ambavyo mwingine anaanza umachinga kabla ya kuwa na duka.
Caregiver kiwanja ana hela kuliko mkurugenzi wa taasisi kubwa tu hapo bongo.