Kama kichwa cha habari kinavojieleza, ningependa kuuliza na kujua wale waliochagulia dv-2020, je wameendelea na process gani mpaka sasa, na pia mwaka huu, itakua lini kujaza form kwa dv-2021? Asanteni.
Visa Maalum ya Kuishi Marekani- Diversity Visa
Maelezo ya kina juu ya mchakato mzima wa green card lottery kwa Kiswahili toka maofisa wanaofanya kazi ktk ubalozi Marekani jijini Dar-es-Salaam, Tanzania
Source: USEmbassyTZ