Green card lottery

Green card lottery

Jesse J

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
91
Reaction score
40
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, ningependa kuuliza na kujua wale waliochagulia dv-2020, je wameendelea na process gani mpaka sasa, na pia mwaka huu, itakua lini kujaza form kwa dv-2021? Asanteni.
 
Jesse J

Mwaka huu hakikisha unajaza form kabla Nov 5 haijafika au haijapita.
 
Visa Maalum ya Kuishi Marekani- Diversity Visa
Maelezo ya kina juu ya mchakato mzima wa green card lottery kwa Kiswahili toka maofisa wanaofanya kazi ktk ubalozi Marekani jijini Dar-es-Salaam, Tanzania

Source: USEmbassyTZ
 
Back
Top Bottom