Green Bird Business College inawatangazia
kwamba Usajiri kwa muhula utakaoanza
4/3/2013
unaendelea,
kozi zitolewazo ni kwa ngazi
ya "Certificate" na "Diploma"
i. Procurement and Supply
ii. Banking and Finance
iii. Accounting iv. Marketing
v. Business Adminstration
vi. Insurance and Risk Management
sifa za mwombaji > certificate-mhitimu wa kidato cha nne
mwenye angalau "pass" yaani D tatu[3]
>Diploma-Principle moja [E] na subsidiary
au cheti katika fani husika toka chuo
kinachotambuliwa na NACTE.
Chuo kipo wilayani Mwanga,Kilimanjaro.....
Kwa mawasiliano zaidi na namna ya
kupata fomu
Tel: 0752718685/0719193149
Email:businessdept@greenbirdinstitutions.org