Great thinkers

jozaa KYLLA

Member
Sep 7, 2012
9
0
Habari zenu wakuu, leo natoa ushauri kwa wote wale wanaoingia skul ya kwamba wajue wanategemewa na jamii inayowazunguka na pengine ndio maana MUNGU amewajalia mafanikio walionao. Hivyo bac wazingatie kile kinachowapeleka huko ili baadae waisaidie jamii katika nafasi mbalimbali.

Si hivyo tu bali hata wale wadogo wao ambao mara nyingi huwa wanafuatilia nyendo zao. Kingine ni humu ndan tujitahidi kufanya mambo yetu kiugreat zaidi maana ni watu wengi wanaelimika kupitia jf namaanisha tuache mizaa. Najua kuna watakaoshindwa kunielewa wasiwe na wasiwasi polepole watanielewa tu.

Mwisho kabisa nawatakia kila la heri wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza.

URS KYLLA
 
Back
Top Bottom