Great thinkers pliiiiz,picha hazionekani ktk folder

Great thinkers pliiiiz,picha hazionekani ktk folder

wise dide

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
26
Reaction score
1
SORRY PLIZ NAHITAJI MSAADA AS KUNA PICHA ZA MATUKIO YA MUHIMU SANA NILIPIGA KWA DIGITAL CAMERA LKN ZMEGOMA KUFUNGUKA KWA MEANS ZOTE NILIZOJARIBU LKN FOLDER LINASOMA KUWA NDANI KUNA VITU VYENYE 3.36GB LKN NKFUNGUA INADAI FOLDER EMPTY!!NMEJARIBU KUKOPI HILO FOLDER KTK FLASH,MEMORY KADI NA KUTEST KULIFUNGUA KTK COMPUTER KADHAA BT IMESHINDKANA KWA MTINDO ULE ULE!!plz nategemea solutions kwenu wadau as JF hakuna linaloshindikana!!

THANX IN ADVANCE....
 
Camera yako ukiiunganisha na PC haijaribu kuinstall software flani? It's normal.
 
Mkuu wala ushofu, vitu vyako vipo.
Unatumia OS gani?
Nenda folder options afu tick checkbox ya kuonesha hidden folders.
Sometimes hata system folders/files unaweza kuitick pia.
 
Hebu specify zaidi mkuu. Bado statement iko vague.

Most cameras iunapounganisha kweye PC kwa mara ya kwanza, ni lazima ifanye installation ya software ya hiyo camera kwa sababu saa nyingine picha zinakuwa katika RAW format ambayo haiwezi kusomwa na computer bila software. Sasa ikishaweka hiyo software ndio unaweza kuziona hizo picha na unakuta options kama "Save to PC", "edit" etc. Mara chache sana mtu unaweza kutoa picha kwenye camera bila softwares zao(zipo ndani ya camera ukiichomeka tu inaanza kufunguka).
Kwani umehawahi kuiunganisga hiyo PC kabla? I doubt.
 
solution ya fasta ni kama una soft yoyote ya ku open picha mfano let say piccasa ukichomeka memory card inakuja auto play usiclick open folder to view file we click open picture by picassa zitafunguka.

By the way unatakiwa utafte cd ya digital camera yako ili uinstall soft yake
 
Back
Top Bottom