Great Thinkers nisaidieni, Huyu dada vipi....?

Ndio akina dada wa siku hizi ukichokoza tu hapo umechapa lakini mke wa mtu ni hatari sana utakimbia mji
 
Mwananke anakuwekea paja mpaka anaondoka then u come to ask what to do here,mm ningemdo the first time she try n that will be over !anadhalalisha nguvu zako za kiume.**** her deadly...
 
Unakaribisha matatizo. Huko unakoelekea siko kuzuri na please I beg you to be extra careful. Kwa kifupi mtaishia kuchakachuana kwa kuibiaibia halafu mtashikwa!!
Keep the distance
 

WC hiyo no.6 nimeipenda, huyo jamaa mi naona anamtaka huyo mwanamke, sasa cku analetewa mateja wamgeuze cjui itakuaje! Mi siiiiiiiiiiiiiiiiipo!
 

well done kiongozi
 
Lol!Mchakachue uone kifuatacho!mke wa mtu huyooooooo.:mod:
 
Parking at owner's risk and remember a day will come hiyo kona yako utaikata na speed 120 visigino vikigonga kisogo.
 
The message is clear, don't fall into this then later u say you were a only victim of circumstance , hayo ni mazingira tata na hatarishi
 

Kwani we unawaza ina ujumbe gani?
 
kwa stage mliyofika ukifumwa na mumewe wala hutoweza jitetea kuwa hujamfanya kitu huyo mazee. so kama hutaki hayo yatokee mwambie asije kabisa kwako. ila kama unaendelea kumfungulia mlango, then fungua fata ushauri wa Pauline, fungua yote...mpaka hapo mtakaposhikwa then utajua kuucheza muziki utakaoibuka
 
Kwan wewe ulifikiri hiyo body language ina maanisha nini....?mbona unauliza jibu badala ya swali???Acha hizo wewe.....!!
Cha mtu mali kiache hivyo hivyo usije ukajifanya mwepesi sana wa kurukia vya watu.
 
Mke wa mtu ni simu broda usijaribu kabisa....isije kuwa umewekea mtego uingie matatizoni. jaribu kuzishinda tamaa za mwili...kwa mke wa mtu tena jiran yako..achana kabisa na biashara..itakusababishia matatizo makubwa na kukuharibia kabisa mipango yako ya maisha
 
Usiguse hiyo maneno mkuu coz at the end of the day utaambulia fedhea isiyokuwa na kifani...
 
Mke wa mtu!! Hatari hiyo inakujia, yaani ukikutwa hata kama ndio siku ya kwanza tu, watasema ndio mchezo wenu. Kuwa mwangalifu, kwa yule kwa kwako hakutembelei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…