Acha kudanganya wewe wa wapi, iphone like toy, android ndio dunia nyingine unapata kile unachokitaka uliza watu waliotumia simu zote Android ni mwisho wa matatizo yaani android unafanya kila kitu ambacho hauwezi kufanya na iphone.
Acha ushabiki wewe huwezi kuiita Toy simu ambayo ni fierce competitor wa Sumsung GALAXY
Major share holders wa soko la smartphones sumsung galaxy na iphone
Nimeipenda sasa kama Nikiwa Mwanza na naitaka kuicheck inakuaje? Bei ya mwisho ngapi kama utachukuwa zaidi ya moja na Je kuhusu Rangi hakuna zaidi ya white? Nijibu nitakupigia asubuhi
Nimeipenda sasa kama Nikiwa Mwanza na naitaka kuicheck inakuaje? Bei ya mwisho ngapi kama utachukuwa zaidi ya moja na Je kuhusu Rangi hakuna zaidi ya white? Nijibu nitakupigia asubuhi
Mwanza tunaweka kwa bus we have our guy in Mwanza mtabadilishana you cash him unachukua simu yako!
Zaidi ya nyeupe ipo pearl blue, bei kaka Ukitaka Zaidi ya moja itapungua kidogo