Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
nimealikwa kushiriki mjadala wa wanaharakati, wenye mada isemayo;
je, umasikini wa watanzania ni laana?
MJADALA UTAANZA SAA TATU USIKU.
nimealikwa kushiriki mjadala wa wanaharakati, wenye mada isemayo;
je, umasikini wa watanzania ni laana?
MJADALA UTAANZA SAA TATU USIKU.
Huyo bwana naona kashindwa kujieleza na hajui ni kitu gani kinaenda kujadiliwa huko ITV...Umealikwa kama nani??
Tatizo ni kwamba wadau hawajaielewa heading ya thread 'Grayson ITV Saa 3 usiku'......Hapo ndipo walitaka ufafanuzi zaidilengo lilikuwa kuwatarifu watu mada ya leo,sio program ya tv, ila nashukuru kuwaelezea kwa undani.
hata mimi nimekuja kumpa points, nadhani ndio lengo lake pia, ukweli ni kwamba, nchi hii haina mwenyewe imejaa mijitu mirafi na miroho tu, yaani sijajua kama hakutakuwa na watangazaji wahuni ambao hawatawazuia watoa maada kupayuka mpaka kunyooke.
na wewe MATOLA ni wa wapi mbona unaonekana kuwa na chuki hapa.... Unaanza za aakina ccm na cdm ee, kama mnajuana useme huo ni use...ge...unakusumbua tu. hatutaki wanafiki humu hebu tulifukuze humu eti matola....