Gravitas: China exports faulty war machines, countries complain about defective jets, radar & ships

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Tukisema Ulaya na Nchi za magharibi ujasusi wao ni wakiwango cha kutisha muwe mnaamini.

Ktk hili sitaki kuamini hata Tanzania huenda tumeshapigwa japo yaweza kuwa top secret.

Siku chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri jinsi Taifa Hilo linavyo uza duniani silaha fake kwa gharama kubwa wakati mataifa hayo yakibaki na silaha mbovu.

Huu ni ushahidi wakutisha ambao majasusi walikaa kimya watu wapigwe Kisha wake wakinukishe ila China alipe mara elfu.

Endeleeni wa bongo wa Buza kumsifia mchina na Mrusi ila tutaelewana baada yakuji elewa.

Nisiandike sana bofya below ukaone China alicho watenda.

Hivi sisi tunatengeneza hata manati kweli? 😳

Zile Migi zetu zilizomfurusha Nduli Idd Amin Dada bado zinatutosha hatuna wasiwasi sisi hasa ukizingatia kuwa jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani. Hao wanaonunua masilaha feki ya Mchina shauri yao 🚮🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Ktk hili sitaki kuamini hata Tz uwenda tumesha pighwa japo yaweza kuwa top secret.
Siku Chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri jinsi Taifa Hilo linavyo uza duniani silaha fake kwa gharama kubwa wakati mataifa hayo yakibaki na silaha mbovu. Huu ni ushahidi wakutisha ambao majasusi walikaa kimya watu wapigwe Kisha wake wakinukishe ila China alipe mara elfu...
Endeleeni wa bongo wa Buza kumsifia mchina na Mrusi ila tutaelewana baada yakuji elewa..
Nisiandike sana bofya below ukaone China alicho watenda...

View: https://m.youtube.com/watch?v=pHJGDDpTLQ4

Gravitas channel ya wahindi ambao wanagombea mpaka na china unategemea nini?
Mbona US f15 alizopeleka israel zilikuwa na shida mpaka wakaziground?
 
Endeleeni wa bongo wa Buza kumsifia mchina na Mrusi ila tutaelewana baada yakuji elewa.

Nisiandike sana bofya below ukaone China alicho watenda...
Mada zako nyingi huwa ni za kipuuzi puuzi, huku ukijifanya wewe unazo siri wasizokuwa nazo wengine.

Haya, nenda kajaribu kupambana na hizo silaha feki uone ni kipi kitakutokea.

Wewe pamoja na kujifanya unajihusisha na mambo nyeti mbalimbali, halafu bado usiwe na uelewa wa vita hizi za maneno na kwenye makaratasi za hao unaowaweka mbele na kuwaamini kila wanachoandika/sema na wewe kushangilia tu kama juha!
 
Asante
 
Ila nchi hii Ina watu wa aina mbili, na hao ndiyo wanaotulazimisha Kila upande akimtetea boss wake ...Cry my country!
Hii ndio afya mkuu sio unakuwa na watu wa ndio mzee. Unaleta taarifa hii mimi ninaipinga kwa taarifa nyingine. Hii ina maana raia wako informed mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Vita ya biashara hiyo mkuu.
Si mliambiwa vifaa vya Huawei ni vibaya?
Mliambiwa 5G haifai?
Tik-tok haifai Ina kusanya taarifa nyeti?
Google, Facebook, na wengineo nao hufanya vivyo hivyo lakini hakuna kelele.
Sasa huawei kaja na chip zake wanahaha wameongeza vikwazo. Mwisho atakuwa anatengeneza kila kitu sijui watafanya nini.
Na nimetoka kusoma taarifa kuwa amepanga kuongeza shipping za mate60
 
Hakuna tena anaesikiliza na kuwafuata wamagharibi , kama ulikuwa hujui kama hujui hata hizo iphone hutengezwa huko huko China na karibu brand zote unazozijua hufungwa China na kuuzwa , Kwa ssa hakuharibiki kitu Mmarekani anahaha kila anapopashika panaunguza nchi kibao za Africa zinakula sahani nae moja.
Mwalimu Nyerere alituambia tusimuonee haya mvivu mzembe na mzururaji wamagharibi ni wazururaji tena waharibifu
Sasa wanatuletea tabia mbovu za kunahiliana na kuowana watu wa jinsia moja ,yaani Uganda kasema atawasafieisha wote wanaotaka hayo kuwapelekea Wamarekani.
 
Utajiri wa china wamepata kwa kutuibia .
Mtangazaji amekumbushia 2019 wakati jpm alipogundua vipimo feki kutoka china vya corona

Juzi nimenunua betri 2 za simu za china zote zilikufa ndani ya saa moja
 
Tukisema Ulaya na Nchi za magharibi ujasusi wao ni wakiwango cha kutisha muwe mnaamini.

Ktk hili sitaki kuamini hata Tanzania huenda tumeshapigwa japo yaweza kuwa top secret.

Siku chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri jinsi Taifa Hilo linavyo uza duniani silaha fake kwa gharama kubwa wakati mataifa hayo yakibaki na silaha mbovu.

Huu ni ushahidi wakutisha ambao majasusi walikaa kimya watu wapigwe Kisha wake wakinukishe ila China alipe mara elfu.

Endeleeni wa bongo wa Buza kumsifia mchina na Mrusi ila tutaelewana baada yakuji elewa.

Nisiandike sana bofya below ukaone China alicho watenda.

View attachment 2748411
Ujasusi kama AKA spying siyo kama wengi wanavyoichukulia ni limtu kubwa au muuaji tu.Ujasusi ni taaluma ambayo unaweza kuta hata kijana wa miaka 20 kajengw na ni jasusi. Siyo mpaka uwe na nguvu au sura la kutisha. Ni akili ya kuweza baini kile ambacho ulitaka kukijua kwa adui yako kwa kutumia njia yoyote ile iwe udukuzi,mateso hata kuua.

Nikirudi kwenye andiko lako na huoni inaweza kuwa ni mbinu ya hao wa magharibi kutaka kummaliza mchina kwa mbinu kumdhoofisha ? Kama nilivyosema akili inatakiwa kuwa kubwa kummaliza adui yako ikishindikana ndiyo unaweza tumia njia nyingine mmbadala. Kwa hili uliloleta siwezi sema ni ukweli inaweza kuwa ni njia ya kijasusi kuwamaliza.

Lakini hata ungekuwa wewe unaweza uza silaha kwa watu waje wakumalize? Hakuna nchi yoyote duniani itauza au inauza silaha bila kuwa na angalizo. Atakuwa ni kichaa peke yake akuuzie silaha kali zaidi yake. Ila kwa fake sidhani kama kuna ukweli nachoweza kukubali labda silaha dhaifu possible.
 
Siku chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri jinsi Taifa Hilo linavyo uza duniani silaha fake kwa gharama kubwa wakati mataifa hayo yakibaki na silaha mbovu.
Unawaamini hao majasusi!?
 
Tukisema Ulaya na Nchi za magharibi ujasusi wao ni wakiwango cha kutisha muwe mnaamini.

Ktk hili sitaki kuamini hata Tanzania huenda tumeshapigwa japo yaweza kuwa top secret.

Siku chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri jinsi Taifa Hilo linavyo uza duniani silaha fake kwa gharama kubwa wakati mataifa hayo yakibaki na silaha mbovu.

Huu ni ushahidi wakutisha ambao majasusi walikaa kimya watu wapigwe Kisha wake wakinukishe ila China alipe mara elfu.

Endeleeni wa bongo wa Buza kumsifia mchina na Mrusi ila tutaelewana baada yakuji elewa.

Nisiandike sana bofya below ukaone China alicho watenda.

View attachment 2748411
Ww unaijua teknolojia mkuu,usilete ushabiki wako usio na maana yoyote hizo propaganda za mmarekani haziizuii china kunywa maji.Wenzetu wako mbali huyo mmarekani kinachomsumbua ni wivu basi.
 
Hivi sisi tunatengeneza hata manati kweli? 😳

Zile Migi zetu zilizomfurusha Nduli Idd Amin Dada bado zinatutosha hatuna wasiwasi sisi hasa ukizingatia kuwa jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani. Hao wanaonunua masilaha feki ya Mchina shauri yao 🚮🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Fuatilia safari ya jakaya Uganda kwenye mkutano wa wakuu wa EAC alisindikizwa na ndege gani,kipindi hicho bifu na paka
 
Back
Top Bottom